LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la Railway Children lawasaidia wanaoishi mitaani kutimiza ndoto zao

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baadhi ya vijana jijini Mwanza wanaopata mafunzo ya ufundi wa magari kupitia ufadhili wa shirika la Railway Children Africa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Maafisa wa shirika la Railway Children Africa pamoja na timu ya wanahabari mkoani Mwanza wakimsikiliza mmoja wa watu wa kuaminika jijini Mwanza (kushoto aliyesimama) namna anavyoshirikiana na shirika hilo kuwapa hifadhi watoto wanaokubali kutoka mitaani wakati jitihada za kuwarejesha makwao zikiendelea. 
Afisa wa shirika la Railway Children Africa (wa pili kushoto) akiteta jambo na mmoja wa vijana waliokuwa wanaishi mtaani (kushoto) ambaye aliwezeshwa na shirika hilo na sasa ameanzisha shughuli mbalimbali za ujasiriamali.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.