LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza wajipanga zoezi la uandikishaji makazi, ukusanyaji kodi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) amewataka watendaji wa Kata na Mitaa, mabalozi pamoja na wenyeviti wa Mitaa kuhakikisha wanasimamia kwa ukamilifu zoezi la uandikishaji majengo na viwanja kwa ajili ya ulipaji kodi.

Mongella alitoa rai hiyo wakati akizungumza na viongozi hao ambao alisema wana jukumu la kuhakikisha wanawahamasisha wananchi na wafanyabiashara wakubwa na wadogo kulipa kodi ya mabango, vitambulisho, majengo na viwanja baada ya mfumo wa ukusanyaji kodi hizo kuhamishwa kutoka TRA kwenda Halmashauri.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Viongozi mbalimbali wa Serikali za Mitaa na Kata jijini Mwanza wakifuatilia kikao baina yao na Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella (hayuko pichani).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.