LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake mkoani Mwanza yafana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu 2021 kwa Mkoa Mwanza yamefanyika katika uwanja wa Furahisha wilayani Ilemela mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya Ilemela, Dkt. Severine Lalika.

Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka kote duniani kila mwaka Machi 08 ili kutoa fursa kwa wadau mbalimbali kuangazia mchango wa wanawake katika kuchochea maendeleo pamoja na kupaza sauti ili kutokomeza vitendo vya ukatili vinavyokwamisha jitihada za wanawake katika kufikia usawa wa kijinsia.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.