LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Hafla ya utoaji Tuzo za Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Usiku wa Jumapili Machi 07, 2021 zimetolewa Tuzo za Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa kwenye kongamano la 'Women Round Table' lililofanyanyika Gold Crest Hotel jijini Mwanza. Tuzo hizo ni sehemu ya kutambua jitihada za wanawake katika kuchochea maendeleo.

Kwa mara ya tano kongamano la 'Women Round Table' limekuwa likifanyika jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku Tuzo za Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa kifanyika kwa mara ya kwanza mwaka huu 2021 kwa kuhusisha sekta 16.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mratibu wa Tuzo za Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa, Khadija Liganga alisema tuzo hizo zitaongeza hamasa kwa wanawake kuongeza jitihada katika kutimiza wajibu wao kwenye nyanja mbalimbali.

No comments:

Powered by Blogger.