LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanamke anayepambana kuleta usawa katika jamii. Tutafute pesa, wanaume ni utata

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mmoja wa wanaharakati wa kujitolea ngazi ya jamii katika Wilaya Magu mkoani Mwanza, Suzana Mshigwa Luhemeja (34) ambaye amekuwa chachu kubwa ya kutoa elimu ya kuzuia ukatili wa kijinsia hususani kwa wasichana na wanawake ili kuleta usawa katika jamii.

Luhemeja anasema umefika wakati wanawake kuanzisha shughuli za kuwapatia kipato ili kuondokana na utegemezi kutoka kwa waume zao hatua ambayo itasaidia kuondokana na ukatili wa kijinsia katika jamii.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.