LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maandalizi kuelekea Mei Mosi 2021 kitaifa jijini Mwanza yakamilika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amesema maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo kitaifa yatafanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza yamekamilika.

Mongella amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo maarufu kwa jina la Mei Mosi yatakayofanyika Mei 01, 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.