LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyowasili Mwanza, kushiriki Mei Mosi 2021

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Aprili 30, 2021 amewasili jijini Mwanza majira ya saa moja jioni kupitia uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Mei Mosi 2021 yatakayofanyika uwanja wa CCM Kirumba mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella wakimlaki Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Viongozi mbalimbali wakimlaki Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.