LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makamu wa Rais alivyowasili Mwanza, kushiriki Mei Mosi 2021

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Isdor Mpango amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2021 yanayofanyika kitaifa uwanja wa CCM Kirumba.

Dkt. Mpango amelakiwa na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.