LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia Suluhu Hassan alivyotua Mwanza, mgeni rasmi Mei Mosi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Mwanza ambapo atakuwa mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2021 kitaifa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewaongoza viongozi mbalimbali kumlaki Rais Samia katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.