LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Chalamila akabidhiwa Ofisi Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu mpya wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila (kulia) Jumatatu Mei 24, 2021 amekabidhiwa rasmi Ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo John Mongella (kushoto) ambaye aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Awali RC Chalamila alikuwa Mkuu wa Mkoa Mbeya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.