LIVE STREAM ADS

Header Ads

Chalamila: Hospitali ya Sekou Toure imechakaa, hili jengo likamilike

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila ameagiza ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza, Sekou Toure kukamilika kwa wakati na kwa ubora ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Alisema kukamilika kwa jengo hilo la ghorofa tano litakalogharimu zaidi ya shilingi bilioni 10 hadi kukamilika kutaleta unafuu wa huduma za afya hususani kuzuia vifo vya mama na mtoto katika hospitali hiyo ambayo alisema baadhi ya majengo yake yamechakaa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.