LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA: Kamati ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto yatakiwa kutimiza wajibu wake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalii ameisihi Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wanawake na Watoto Mkoa Mwanza kutojifungia maofisini na badala yake kwenda kwa wananchi kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi changamoto zinazowakabili.

Kali alitoa rai hiyo Mei 07, 2021 wakati akitoa salamu kwenye kikao cha Kamati hiyo kilichoketi kwa ajili ya kujadili mbinu mbalimbali za kutokomeza ukatili kwa wanawake na watoto mkoani Mwanza hususani mimba kwa wanafunzi wa kike.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.