LIVE STREAM ADS

Header Ads

Chalamila akabidhi ofisi kwa mrithi wake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila amekabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Robert Gabriel aliyetokea mkoani Mara. Chalamila amekabidhi ofisi kufuatia mabadiliko mafupi yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 11, 2021 ambapo ametengua uteuzi wa Chalamila.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.