LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHALAMILA- Wenye mabango wasisubiri ziara ya Rais Samia, waje ofisini

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila ameweka wazi miradi atakayokagua na kuzindua Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye ziara yake anayotarajia kuifanya mkoani Mwanza kuanzia Juni 13-15, 2021.

Pia Chalamila amewataka wananchi kutosubiri ziara hiyo ya Rais ili waende na mabango yenye kero zao bali wafike ofisini kwake kwa ajili ya kuwasilisha kero walizonazo kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.