Chalamila atoa ratiba ya ziara ya Rais Samia mkoani Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye ziara ya kikazi anayotarajiwa kuifanya kuanzia Juni 13-15, 2021 ambapo atakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila akitoa taarifa kwa umma kuhusiana na ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia Juni 13-15, 2021.
Kutoka kushoto ni Katibu Tawala Mkoa Mwanza Ngusa Samike, Mkuu wa Mkoa Mwanza Albert Chalamila pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza Ramadhan Ngh'azi.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: