LIVE STREAM ADS

Header Ads

Nyamagana wajipanga mapokezi ya Rais Samia, tunatarajia neema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza ambapo pamoja na mambo mengine atakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mkuu wa Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Dkt. Philis Nyimbi amekutana na makundi ya viongozi mbalimbali wilayani humo na kuwahimiza kujiandaa kikakilifu kwa kushirikiana na wananchi ili kumlaki Rais Samia.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.