LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tulijenga Shule ikabomolewa, niliumwa sana. Mzee wa miaka 93 asimulia kwa uchungu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara amewatukunu tuzo wadau mbalimbali wilayani humo kwa kutambua mchango wao wa kuchochea maendeleo kwa kushirikiana na Serikali. 

Miongoni mwa waliotunukiwa tuzo hizo ni pamoja mzee Bulendeli Masta (93) aliyetoa ardhi yake kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari baada ya iliyojengwa hapo awali kubomolewa kwa madai ya kujengwa kwenye ardhi ya mwananchi bila idhini yake.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.