Makamu wa Rais awasili jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwanza
Airport: Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwasili jijini Mwanza
Juni 08, 2021 majira ya saa mbili usiku na kupokelewa na viongozi mbalimbali
wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: