LIVE STREAM ADS

Header Ads

DC alivyopambania haki ya mjane, alikatwa mapanga kisa ardhi yake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Bunda, Lydia Bupilipili akizungumza kwenye hafla ya utoaji tuzo kwa wadau wa maendeleo wilayani humo ikiwemo shirika la KIVULINI lililoshirikiana vyema na Serikali kutoa elimu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto.

Katika hafla hiyo Bupilipili alieleza kuwa hapo awali hali ya ukatili wa kijinsia wilayani humo ilikuwa mbaya tofauti na sasa ambapo matukio yamepungua huku akisikitishwa na moja ya tukio la mjane aliyekatwa mapanga wakati akipambania ardhi yake.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.