Rais Samia kuzindua kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumapili Juni 13, 2021 anatarajiwa kuzindua kiwanda cha kisasa cha kusafisha dhahabu Mwanza kinachomilikiwa kwa ubia na mwekezaji/ Rozella kutoka Dubai pamoja na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO).
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: