LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maandalizi ya uzinduzi wa kiwanda cha dhahabu Mwanza yakamilika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Maandaliziya uzinduzi wa kiwanda cha kusafisha dhahabu Mwanza yamekamilika. Waziri wa Madini Doto Biteko, Mkuu wa Mkoa Mwanza Robert Gabriel pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji STAMICO Dkt. Venance Mwasse wamebainisha kuwa uzinduzi wa kiwanda hicho utakuwa na manufaa makubwa kwa Taifa.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kiwanda hicho utakaofanyika Jumapili Juni 12, 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.