LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kamati ya Siasa Nyamagana yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya Nyamagana imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati jijini Mwanza ikiwemo ujenzi wa Soko Kuu, Stendi ya Nyegezi pamoja na Meli mpya ya MV. Mwanza “Hapa Kazi Tu”.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.