LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza atoa mwelekeo wa kupamba na maambukizi ya Corona

aliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Viongozi mkoani Mwanza wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Robert Gabriel Julai 06, 2021 wamekutana kwa ajili ya kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt. Thomas Rutachunzibwa (katikati) alisema mikakati ya utayari kwa ajili ya kupambana na Corona imechukuliwa.
Viongozi mbalimbali mkoani Mwanza wakiwemo Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wakiwa kwenye kikao hicho.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.