LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza azuia mikusanyiko isiyo ya lazima kupambana na Corona

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Robert Gabriel amezuia mikusanyiko na mikutano isyo ya lazima katika kipindi cha miezi takribani mitatu kuanzia sasa ikiwa ni sehemu ya kuchukua hatua za kuzuia maambukizi ya janga la Corona kusambaa.

RC Gabriel ameyasema hayo Julai 20, 2021 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni ya inayoendelea mkoani Mwanza ya kuhamasisha wananchi kujikinga na Corona kwa kuzingatia taratibu za kifya ikiwemo kuvaa barakoa, kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka pamoja na kuepeuka mikusanyiko/ misongamano.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.