LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kada wa CCM matatani kwa tuhuma za kumbaka mtoto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kada wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami Wilaya Magu mkoani Mwanza, Robert Exavery ameingia matatani baada ya kutuhumiwa kumbaka binti wa miaka 12 mwanafunzi wa darasa la sita.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.