LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ibada ya Kutwalizwa Bikra Maria na kumuombea Hayati Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza Robert Gabriel (kulia) ameshiriki Misa ya Kutwalizwa kwa Bikra Maria na kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyoongozwa na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande (kushoto) katika Parokia ya Kawekamo jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.