LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Gwajima azindua nyumba zaidi ya 600 Misungwi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima (kushoto) amezindua nyumba 673 katika Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza zilizojengwa kupitia vikundi vya wanawake baada ya kupata hamasa kutoka Shirika la KIVULINI likishirikiana na Serikali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji mpango mkakati wa kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.