LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kazi Inaendelea daraja la JPM, Kigongo Busisi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuelekeza fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM katika eneo la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza ambalo limefikia asilimia 29 ambapo hadi kukamilika kwake mwaka 2024 litagharimu shilingi bilioni 699.2.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.