LIVE STREAM ADS

Header Ads

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais akutana na Menejimenti ya NEMC

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mary Ngelela Maganga amefanya kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kikao hicho kimefanyika kwenye Ofisi za Baraza Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu alijadili na Menejimenti mambo mbalimbali yanayohusu utendaji kazi kwa ujumla, Majukumu ya Baraza na utekelezaji wake.
Sehemu ya Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mary Ngelela kwenye kikao kilichofanyika Makao Makuu ya Baraza hilo jijini Dar es Salaam.
Na Adam Sayi, Dar

No comments:

Powered by Blogger.