LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maonesho ya Biashara Afrika Mashariki yaanza kwa kasi Rock City Mall

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com 
Maonesho ya 16 ya Biashashara Afrika Mashariki yanayoandaliwa na Chemba ya Wafanyabiashara (TCCIA) katika viunga vya Rock City Mall jijini Mwanza yameanza kwa kasi yakijumuisha takribani taasisi 200. Maonesho hayo yameanza Ijumaa Agosti 27 hadi Jumapili Septemba 05, 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.