LIVE STREAM ADS

Header Ads

Meya wa Mwanza ashangazwa na Maabara hii ya Milioni 29

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine akiwa na Kamati ya ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza amekagua miradi mbalimbali maendeleo ikiwemo ujenzi wa Soko Kuu, chumba cha kuhifadhia chanjo (DVS) katika Hospital ya Wilaya ya Nyamagana Butimba na Maabara katika Shule ya Sekondari Igoma.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.