LIVE STREAM ADS

Header Ads

Balozi wa Marekani akoshwa na Shirika la WoteSawa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Donald Wright atembelea Shirika la kutetea haki za wafanyakazi wa nyumbani (WoteSawa) lililopo jijini Mwanza na kupongeza juhudi za shirika hilo za kuokoa wafanyakazi wa nyumbani hususani wasichana.

Balozi Wright ametembelea shirika hilo Novemba 09, 2021 ikiwa ni sehemu ya ziara yake jijini Mwanza yenye lengo la kukagua shughuli mbalimbali zinazofadhiliwa na Serikali ya Marekani.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.