LIVE STREAM ADS

Header Ads

Siku 10 za neema kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kuelekea kwenye kilele cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika Disemba 09, 2021, Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa Tamasha la Mawasiliano, Utalii, Utamaduni na Maonesho ya Biashara kuanzia Novemba 19-28, 2021.

Tamasha hilo linafanyika katika viwanja vya Malamala Igoma likitoa fursa kwa wafanyabiashara kutangaza vidhaa mbalimbali huku likinogeshwa na mbio za mitumbwi zilizofanyika katika fukwe za Ziwa Victoria na kutoa chachu ya kuvitangaza vivutio vya utalii ikiwemo Kisiwa cha Saanane pamoja na jiwe la Bismark/ Rock City.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.