LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ni kweli juisi za miwa Mwanza zina kinyesi? Mtafiti kazungumza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Hivi karibuni Chuo Kikuu cha CUHAS- Bugando kilifanya utafiti kuhusu hali ya usafi kwenye juisi za miwa zinazotengenezwa na kuuzwa na baadhi ya wajasiriamali jijini Mwanza. Utafiti huo ulibaini kuwa juisi hizo zina bakteria aina ya 'Escherichia Coli' anayepatikana kwenye mfumo wa takamwili za binadamu ama wanyama (kinyesi).

Utafiti huo ulizua taharuki miongoni mwa watumiaji wa juisi za miwa jijini Mwanza. Hatua hiyo imetulazimu kuzungumza na mmoja wa wataalam waliofanya utafiti huo ambaye ameeleza kiundani walichokibaini na hatua inayofuata baada ya utafiti huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.