LIVE STREAM ADS

Header Ads

Zaidi ya wanafunzi 700 kuhitimu Chuo cha Afya CUHAS Bugando

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Zaidi ya wahitimu 700 wanatarajiwa kutunukiwa shahada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sayansi za Afya (CUHAS) kwenye mahafali ya 14 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 13, 2021 kwenye viunga vya Hospitali ya Kanda Bugando.

Hayo yamebainishwa na uongozi wa chuo hicho wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliolenga kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na shughuli mbalimbali zitakazofanywa na chuo hicho ikiwemo kongamano la kisayansi katika kuelekea kwenye mahafali hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.