LIVE STREAM ADS

Header Ads

Eunice Ogot, mtoto mwenye maajabu Rorya (Sehemu ya 01)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
BMG Online Media tunakuletea mfululizo wa simulizi za mtoto wa maajabu, Eunice Ogot mwenye umri wa miaka mitatu anayetibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia Sala na maji ya Baraka katika Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Mara ikiwa ni mwaka mmoja sasa tangu aanze kutoa huduma hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.