LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru katika Hifadhi ya Serengeti

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika na kuhamasisha Utalii wa Ndani, kampuni ya APC Travel ya jijini Mwanza imeandaa safari ya kupeleka wananchi katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyo kwenye Hifadhi hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.