LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI kinara kwa kupambana na Ukatili wa Kijinsia Tanzania

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la KIVULINI limejisha tuzo ya Ruzuku miongoni mwa mashirika sita kinara nchini Tanzania kwa kupambana na ukatili wa kijinsia hususani dhidi ya wanawake na watoto. 

Tuzo hiyo ya ruzuku imetolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa ambazo ni pamoja na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN Women), Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu duniani (UNFPA), Umoja wa Ulaya pamoja na Balozi mbalimbali zilizopo nchini Tanzania.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.