LIVE STREAM ADS

Header Ads

Niliponywa ugonjwa wa ajabu, nami naponya wengine- Mtume Joel Yamo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Aliugua ugonjwa wa ‘Sickle Cell’ ambao mara nyingi ni ugonjwa wa kurithi unaoathiri zaidi mfumo wa chembe chembe nyekundu za damu na hivyo kusababisha mgonjwa kuishiwa damu mara kwa mara na kusababbisha hata kifo.

Wataalamu wengi wamekuwa wakisema ugonjwa huu hautibiki, lakini kwa Mchungaji Joel Yamo (0788 92 76 76 au 0744 46 36 36) wa kanisa la Dorcus Christian Ministries lililopo Machinjioni jijini Mwanza kwake ilikuwa tofauti kwani aliponywa ugonjwa huo na sasa anaponya watu wengine magonjwa yaliyoshindikana kama ilivyoponywa yeye.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.