Uzuri wa Tanzania (S02 E01) Stendi ya Mabasi Nyegezi Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baada ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka 2021 na mwaka mpya 2022, hatimaye BMG TV tunaendelea kukuonyesha vivutio pamoja na miradi mbalimbali kupitia programu ya ‘Uzuri wa Tanzania’ ambapo katika msimu huu wa pili kipindi cha kwanza (S02 E01) tunaangazia ujenzi wa Stendi ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: