LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali yayafungulia Magazeti yaliyokuwa yamefungiwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuyafungulia magazeti manne yaliyokuwa yamefungukiwa kwa makosa mbalimbali yaliyoelezwa kuwa ni kukiuka maadili ya uandishi wa habari.

Uamuzi huo umetangwa Februari 10, 2022 na Waziri Nnauye wakati akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini na kueleza kuwa' "agizo la Rais ni Sheria, leo hii natoa Leseni kwa magazeti manne ambayo ni Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima".

"Mama (Rais Samia Suluhu Hassan) kasema Kazi Iendelee tuanze ukrasa mpya" Waziri Nape ameeleza.

1 comment:

  1. The Metal X System is an accessible approach to fabricate advanced steel parts in broad variety|all kinds} of superior metals. Print in vibrant colors, clear supplies, or delicate and precision machining rubber supplies with extremely correct dimensions. We offer the instruments and assets want to|you should|you have to} convey your idea to life. 3D Insider publishes news, tutorials, and evaluations about the latest emerging tech.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.