LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aliyeshindikana kupona kwa wazungu, apona kwa maji ya Yunis Ogot (03)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Simulizi za mtoto Yunis Julius Ogot (03) mkazi wa Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Rorya zimeendelea kuwa kubwa duniani kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali kwa sala na maji. 

BMG TV imepiga kambi kijijini Bukama na kukuletea simulizi mbalimbali kuhusiana na mtoto Yunis ikiwemo ya kutokewa kwa mara ya pili na ‘Bikra Maria’ ambaye wazazi wake wanasema ndiye amempa uwezo wa kutibu watu akiwa na umri huo mdogo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.