LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenyekiti Bodi ya 'Bank Of Afrika' atembelea Makao Makuu ya Benki hiyo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa, Nehemia Kyando Mchechu akikaribishwa na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa, Nehemia Kyando Mchechu akiongea na viongozi wa benki hiyo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam (wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Adam Mihayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa, Nehemia Kyando Mchechu (kushoto) akipokea nyaraka za kazi kutoka kwa Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es alaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa, Nehemia Kyando Mchechu akibadilishana mawazo na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Adam Mihayo, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa, Nehemia Kyando Mchechu (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa benki wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam.

No comments:

Powered by Blogger.