LIVE STREAM ADS

Header Ads

Pesa za Royal Tour ni michango ya watanzania, si za Serikali- Rais Samia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (kushoto) ameeleza kuwa gharama za uzalishaji wa filamu ya 'Tanzania, The Royal Tour' na za safari ya walioenda Marekani kwenye uzinduzi ni michango ya watanzania. 

Rais Samia ameyasema hayo Aprili 28, 2022 jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo kwa mara ya kwanza nchini Tanzania baada ya kuzinduliwa nchini Marekani. 

"Hakuna fedha ya Serikali iliyotumika kwenye uzalishaji na uzinduzi wa filamu hii" amesisitiza Rais Samia.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.