Waziri Biteko anasa vigogo wakitorosha madini
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko akiwa katika machimbo ya Rwamgasa mkoani Geita ameshtukia mbinu chafu ya dhahabu inayochenjuliwa kwenye mialo kutopelekwa kuuzwa kwenye masoko ya madini na kuanzisha msako wa kimya kimya uliofanikisha kuwanasa watu wanane.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: