LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waliohama kutoka Ngorongoro wapata huduma za Mawasiliano ya simu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mnara wa muda kampuni ya Mawasiloano ya Airtel ukiwa tayari umesimikwa katika Kijiji cha Msomera Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ili kutoa kutoa huduma ya mawasiliano kwa nanchi wanaohama kutoka Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha.
Hizi ni jitihada za Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhakikisha wananchi wanapata mawasiliano ya uhakika.
Picha na TCRA

No comments:

Powered by Blogger.