LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mahojiano na shujaa wa Mwanza aliyepigana vita ya pili ya dunia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mzee Bega Maliba (104) ni mmoja wa mashujaa wa Tanzania. Alipigana vita ya pili ya dunia mwaka 1939-1945 na nyingine za kiukombozi. Ametoka Ukerewe hadi jijini Mwanza kuwakumbuka mashujaa wenzanke waliotangulia mbele za haki. 

Akizungumza na wanahabari kwenye Siku ya Mashujaa Tanzania, Julai 25, 2022 jijini Mwanza, mzee Maliba ameomba Serikali iendelee kujali maslahi ya mashujaa nchini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.