LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza waadhimisha Siku ya Mashujaa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel Julai 25, 2022 ameungana na wananchi pamoja na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza kuadhimisha kumbukumbu ya mashujaa Tanzania yenye lengo la kuwakumbuka waliopigana vita mbalimbali za kiukombozi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.