SAUT yapokea nyaraka za kwanza kuandikwa na mtanzania
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) kimepokea nyaraka mbalimbali ikiwemo nakala ya kitabu cha kwanza kuandikwa kwa mkono na mtanzania Anicet Kitereza mwaka 1945 ambaye ni mkazi wa Ukerewe mkoani Mwanza.
Nyaraka hizo zilichukuliwa na raia wa Marekani, Gerald Harting ambaye alikuwa rafiki yake Kitereza. Baada ya miongo mingi, mkewe Harting ameamua kurejesha nyaraka hizo nchini.
Akipokea nyaraka hizo Julai 26, 2022, Makamu Mkuu SAUT, Prof. Costa Ricky Mahalu amesema zitasaidia kwenye tafiti mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: