LIVE STREAM ADS

Header Ads

Video Mpya : Solemzo P - Issues

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com

Anaitwa Solomon Ogbeide ambaye anawakilisha Esan Igueben katika jimbo la Edo huko Nigeria. Solemzo P ni mwanamuziki wa miondoko ya Afro Hippo pamoja na Afro Beat ambaye makazi yake ni nchini Marekani.

Licha ya kufanikiwa kufanya muziki na kufanikiwa kuachia ngoma kadhaa miaka kadha nyuma Solemzo ameamua kurejea tena kufanya muziki rasmi akiwa na nia ya kufanya mambo makubwa zaidi huku moja ya msanii ambaye amemvutia sana ni Wizkid kutoka Nigeria

Solemzo P ameachi ngoma yake mpya aliyoipa jina la Issues ambayo unaweza kufurahia kupitia youtube vile vile kupitia instagram yake @solemzo kwa kuwa karibu zaidi na muziki wake.

No comments:

Powered by Blogger.